Nanunua nguo kila ninapokutana na machinga hata kama sizihitaji, nifanyeje kuondokana na tabia hii?

Sasa job unaenda na hizo kadeti 2 na Suruali 2 na mashati 4 pekee?
.mashati hayo ni wiki moja, wiki inayofuata unarudia tena hizo hizo?
 
endelea maana unakuza uchumi
 
Hii menu ya mtoto wa KIKE NINI
 
Wenzako wametoa list zao, zako mtoa mada tuone.
Tunataka tujifunze kupitia ninyi wanaume.
 
Oniomania ndio linajulikana kitaaluma
Kuna ma professor wengine walifika mbali na kusema ni matatizo ya akili
Mental health problem hiyo au wanaita OCD ila sio ocd wetu sawa
Kuna wengine ni depression inawafanya wanunue tu ndio wanapumua
Depression zinakuja kwa njia nyingi wengine wanakula sana mpaka wanakuwa Obesse ila hawajijui ndio furaha yao ingawa ni ugonjwa
Tafuta mtaalamu au akusaidie au nenda Muhimbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…