Nanunua Sungura pori Wazima kwa bei nzuri

Nanunua Sungura pori Wazima kwa bei nzuri

Wakuu Nanunua Sungura wa porini kwa bei nzuri sana.
Kama ww n muwindaji au unaweza kuwapata nitafute tufanye biashara.

Bei 50000/= mmoja
Nipo Mwanza.

Watu wa dar mtulie haya si mambo yenu
Dogo si ungeanzisha tu kabustani ka mbogamboga hapo uwani kwa shemeji yako badala ya haya makitu yatakuletea shida na maliasili?
 
Sungura kuwa porini hakumfanyi kuwa mnyama pori. Ni sawa umkute ng'ombe Mikumi hakumfanyi kuwa mnyama wa porini hata kama anachunga pamoja na swala.
 
Back
Top Bottom