Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Watakuja kukuuzia. Lakini ujiandae pia kwa wazee nyara.Wakuu Nanunua Sungura wa porini kwa bei nzuri sana.
Kama ww n muwindaji au unaweza kuwapata nitafute tufanye biashara.
Nipo Mwanza.
Watu wa dar mtulie haya si mambo yenu
Sijapenda kutupiga biti watu wa dar 🥺😹😹Wakuu Nanunua Sungura wa porini kwa bei nzuri sana.
Kama ww n muwindaji au unaweza kuwapata nitafute tufanye biashara.
Nipo Mwanza.
Watu wa dar mtulie haya si mambo yenu
Hao ni kama rinda nyara za Serikali/jamhuri. Utajiweka kwenye matatizo bure.Wakuu Nanunua Sungura wa porini kwa bei nzuri sana.
Kama ww n muwindaji au unaweza kuwapata nitafute tufanye biashara.
Nipo Mwanza.
Watu wa dar mtulie haya si mambo yenu
naww n wa darNgoja waje
kwaiyo ukimuwinda shambani nayo ni nyaraWatakuja kukuuzia. Lakini ujiandae pia kwa wazee nyara.
Dar shida siamini kama watu wa dar mnavijua hivi vituKwa kuwa ushasema watu wa Dar hutaki basi , nilitaka nikuelekeze mahali rahisi pa kuwapatia tena kwa wingi ili usipigwe 🤣
Aisee itakuaje sasaHao ni kama rinda nyara za Serikali/jamhuri. Utajiweka kwenye matatizo bure.
Dogo si ungeanzisha tu kabustani ka mbogamboga hapo uwani kwa shemeji yako badala ya haya makitu yatakuletea shida na maliasili?Wakuu Nanunua Sungura wa porini kwa bei nzuri sana.
Kama ww n muwindaji au unaweza kuwapata nitafute tufanye biashara.
Bei 50000/= mmoja
Nipo Mwanza.
Watu wa dar mtulie haya si mambo yenu
🤣🤣 Ndo msiwe mnakariri sasa !Dar shida siamini kama watu wa dar mnavijua hivi vitu
Rinda litatatuliwa shauri zako.Aisee itakuaje sasa
Usimuamini huyuDogo si ungeanzisha tu kabustani ka mbogamboga hapo uwani kwa shemeji yako badala ya haya makitu yatakuletea shida na maliasili?
Kabila pekee linalotambulika na nchi hii kwa uwindaji ndio hilo.kwaiyo ukimwinda shambani nayo ni nyara
hao hadzabe wanaoua na kula swala hawawaoni