Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
- Thread starter
-
- #41
nitalipiaSungura pori ni nyara ya gavoo,thamani yake ni sh 800,000 kuwa makini mkuu
Nakumbuka ile Story ya mchina na ununuaji wa vinyonga.Wakuu Nanunua Sungura wa porini kwa bei nzuri sana.
Kama ww n muwindaji au unaweza kuwapata nitafute tufanye biashara.
Bei 50000/= mmoja
Nipo Mwanza.
Watu wa dar mtulie haya si mambo yenu
Kuna makabila asili yao ni uwindaji kama wahadzabe unategemea wale wapi!!??Sasa wengine wawinde wengine wazuie sheria gan sasa izo
Wameruhusiwa na serikali uwindaji wa kitaliikwaiyo ukimuwinda shambani nayo ni nyara
hao hadzabe wanaoua na kula swala hawawaoni
Yes, upo sawahare si ndio
duuhWameruhusiwa na serikali uwindaji wa kitalii
sasa siyo fair basKuna makabila asili yao ni uwindaji kama wahadzabe unategemea wale wapi!!??
Ila kama ww ni mkurya au muhaya nenda kawinde. Utashughulikiwa
KawaleteKuna kijiji kimoja nikienda usiku huwa naona wanakimbia mbele ya taa za gari ni wengi kinoma kumbe ni pesa