David Mgeni
Senior Member
- Aug 4, 2020
- 104
- 138
Nipo apa nina bonge la idea ya biashara n PM tuyajenge mkuuHabari wana jukwaa hili samahani kwa mwenye wazo lolote la biashara lolote nalinunua tutaingia makubaliano ya kimkakati kwa muda wa miezi kadhaa atalisimamia likileta ufanisi namlipa pesa zake au tunakuwa na ubia pamoja niko serious mambo ya utani hayatakiwi
E mail me at:-Habari wana jukwaa hili samahani kwa mwenye wazo lolote la biashara lolote nalinunua tutaingia makubaliano ya kimkakati kwa muda wa miezi kadhaa atalisimamia likileta ufanisi namlipa pesa zake au tunakuwa na ubia pamoja niko serious mambo ya utani hayatakiwi
Ujue wewe mwenye wazo ndio fursa yenyewe kumtajirisha mwenzakoFursa hii jamaniiii
Always iko hivyo mwenye wazo hana mtaji wenye mitaji hawana mawazoUjue wewe mwenye wazo ndio fursa yenyewe kumtajirisha mwenzako
Ni kweli hakuna chabureUjue wewe mwenye wazo ndio fursa yenyewe kumtajirisha mwenzako
NanunuaWazo una nunua au unatafuta wa kufanya nae bishara
Sawa mkuuNanunua
Mkuu wazo ni wazo kuhusu kiwango ni half of one billionungeroa na range ya mtaji ingekaa poa....nisije nikakupa wazo la 1Bilion
Kiasi gani uko tayari kutoa.Habari wana jukwaa hili samahani kwa mwenye wazo lolote la biashara lolote nalinunua tutaingia makubaliano ya kimkakati kwa muda wa miezi kadhaa atalisimamia likileta ufanisi namlipa pesa zake au tunakuwa na ubia pamoja niko serious mambo ya utani hayatakiwi
Habari wana jukwaa hili samahani kwa mwenye wazo lolote la biashara lolote nalinunua tutaingia makubaliano ya kimkakati kwa muda wa miezi kadhaa atalisimamia likileta ufanisi namlipa pesa zake au tunakuwa na ubia pamoja niko serious mambo ya utani hayatakiwi
Muda mwingi niko busy mkuuDm tena unatoka haraka
Almost an average of 5000000milKiasi gani uko tayari kutoa.
Budget
Both!Mtoa mada ww ni mjasiriamali au mfanyabiashara?.