T tinamuro Member Joined May 18, 2011 Posts 10 Reaction score 0 Sep 2, 2011 #1 habari wana jf, eti vipi post za NAO mbona kimya sanaaaaa?
IGWE JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 9,578 Reaction score 7,774 Sep 2, 2011 #2 subiri vipimo!...
pomo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 267 Reaction score 33 Sep 2, 2011 #4 dah kama na CAG nae anachunguzwa ishu ya Jairo, huo mchakato c unaweza kusogezwa mbele? uvumilivu wa hali ya juu unahitajika wakuu
dah kama na CAG nae anachunguzwa ishu ya Jairo, huo mchakato c unaweza kusogezwa mbele? uvumilivu wa hali ya juu unahitajika wakuu
Jituoriginal JF-Expert Member Joined Feb 8, 2010 Posts 349 Reaction score 32 Sep 2, 2011 #5 Daily news ya Tar 2nd sept,wameita watu 300.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Sep 2, 2011 #6 Jituoriginal said: Daily news ya Tar 2nd sept,wameita watu 300. Click to expand... Poa mkuu.
Z Ze Maza Member Joined Nov 14, 2009 Posts 35 Reaction score 4 Sep 2, 2011 #7 wameshatoa majina mtanzania gazeti la leo
C chante JF-Expert Member Joined Mar 11, 2011 Posts 511 Reaction score 675 Sep 2, 2011 #8 ngoja nikatafute ilo gazeti..coz website ya NAO bilabila...
A Agrodealer Senior Member Joined Mar 19, 2011 Posts 107 Reaction score 13 Sep 2, 2011 #9 Mweeee! Nini kuita wametoa majina ya interview ya mwanzo watu wanalia kiama. Hata kama umechaguliwa leo bado kuna wakati mgumu sana mana katika 300 wanatakiwa watu 100. Mihwe upo hapo mama sipati picha zakwetu ztoke 100.
Mweeee! Nini kuita wametoa majina ya interview ya mwanzo watu wanalia kiama. Hata kama umechaguliwa leo bado kuna wakati mgumu sana mana katika 300 wanatakiwa watu 100. Mihwe upo hapo mama sipati picha zakwetu ztoke 100.
L Lutu2 Member Joined Mar 11, 2010 Posts 37 Reaction score 16 Sep 3, 2011 #10 Tafuta magazeti ya jana ya uhuru na daily news yameshort-list watu 300 kwa ajili ya intavyuu
ldd JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 790 Reaction score 128 Sep 3, 2011 #11 mbona na ela yakujikimu tushakula kitambo!!!
S sirmudy JF-Expert Member Joined May 12, 2010 Posts 386 Reaction score 119 Sep 4, 2011 #12 ldd said: mbona na ela yakujikimu tushakula kitambo!!! Click to expand... Hongereni.....na kila la kheri...!
ldd said: mbona na ela yakujikimu tushakula kitambo!!! Click to expand... Hongereni.....na kila la kheri...!
M Mwana Mnyonge JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 518 Reaction score 451 Sep 5, 2011 #13 wakuu naomba mnisaidie nipo chaka nimekosa majina mwenye nayo atuwekee kaka coz kwenye web yao hakuna majina msaada jamani
wakuu naomba mnisaidie nipo chaka nimekosa majina mwenye nayo atuwekee kaka coz kwenye web yao hakuna majina msaada jamani
luckyperc JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 495 Reaction score 46 Sep 5, 2011 #14 mkuu fanya mpango wa kudownload haya hapa sasa. Attachments TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI.pdf TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI.pdf 437.7 KB · Views: 313
M Mwana Mnyonge JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 518 Reaction score 451 Sep 5, 2011 #15 luckyperc said: mkuu fanya mpango wa kudownload haya hapa sasa. Click to expand... thanx mkuu
Coza Mhando Senior Member Joined Dec 14, 2010 Posts 194 Reaction score 7 Sep 5, 2011 #16 Jituoriginal said: Daily news ya Tar 2nd sept,wameita watu 300. Click to expand... <br /> <br /> taarifa mkuu, NAO wameita 440,
Jituoriginal said: Daily news ya Tar 2nd sept,wameita watu 300. Click to expand... <br /> <br /> taarifa mkuu, NAO wameita 440,
M mihiwe Member Joined May 28, 2011 Posts 23 Reaction score 4 Sep 13, 2011 #17 Nini shost! Hakuna cha mia wala kumi,mi naona wananitatiza tu.Zile za chuo hadi leo kimyaaaa kama kafa panya.
Nini shost! Hakuna cha mia wala kumi,mi naona wananitatiza tu.Zile za chuo hadi leo kimyaaaa kama kafa panya.