17n
Member
- Sep 6, 2016
- 27
- 16
Wakuu, Mimi Ni mwajiriwa serikalini mwaka huu nimetimiza miaka mitatu kwenye ajira hiyo, Nimekuwa kila nikipata kiji mshahara kangu nawekeza kwenye biashara Na sasa biashara imeshamiri wasi wasi wangu, Ni kuhusu ajira yangu, haiwezi kuwa hatarini wanasheria nisaidieni hapo!