Naona kama post za jinsi hii zimeongezeka zaidi kipind hiki. Security kwenye ajira imepungua au kuna nini..? Wakati wengne wanalalamikia mhe. Rais kusimamisha ajira wengne wanataka kutoka. Kazi kwelkweli..!Kama inakulipa na unaona una future nayo, choma meli braza, acha woga...
Achana na kazi za wasiwasi, piga chini ajira, piga kazi yako kwa uhuru zaidi
Waliopo kwenye ajira washapata mtaji wa kufungua biashara zao na pia washajua hasara na changamoto za kuajiriwa,ambao hawajaajiriwa wanachowaza wao ni faida za kuajiriwa tuu plus mshahara na pia hawana mitaji ya biashara.Naona kama post za jinsi hii zimeongezeka zaidi kipind hiki. Security kwenye ajira imepungua au kuna nini..? Wakati wengne wanalalamikia mhe. Rais kusimamisha ajira wengne wanataka kutoka. Kazi kwelkweli..!
Wakuu, Mimi Ni mwajiriwa serikalini mwaka huu nimetimiza miaka mitatu kwenye ajira hiyo, Nimekuwa kila nikipata kiji mshahara kangu nawekeza kwenye biashara Na sasa biashara imeshamiri wasi wasi wangu, Ni kuhusu ajira yangu, haiwezi kuwa hatarini wanasheria nisaidieni hapo!
Hahahaa,aisee hii kweliNaona kama post za jinsi hii zimeongezeka zaidi kipind hiki. Security kwenye ajira imepungua au kuna nini..? Wakati wengne wanalalamikia mhe. Rais kusimamisha ajira wengne wanataka kutoka. Kazi kwelkweli..!