Wisdom youlth
Member
- Sep 14, 2011
- 73
- 17
- Thread starter
-
- #21
Inawezekana kwani jana nilipopitia hospital jamaa wakanipa dawa ya kupaka na kisha wakachukua vipimo na kuniomba niende leo saa nne GMT:2
Ila niombeeni kwa mungu kwani nahisi shemeji yenu ananichezea game chafu ngoja nikirudi home.
skia, hiyo kitu ni GONORRHEA kaka.
ni Ugonjwa wa zinaa nenda hospitali tu, dawa zipo tena bei rahisi matibabu wiki moja tu ukishaanza
kwa kumeza dawa unapona!
nadhani magonjwa ya zinaa yanaweza kuambukizwa hata kwa matumizi ya vyoo vya jumuiya,sio lazima mkeo akawa sio mwaminifu.