jamani kwani kipi kibaya?Mary!!! mbona jina lako na maelezo yako havifananani jamani?
Merytina mambo?
Usifikie gesti ukija Dar bana. Kuna JF members wengi wanaweza kukupa accomodations.
Mi kabla sijaoa, afu huyu mama matesha anipe wazo la "twende gesti"... Anakula talaka ya uchumbani!
Merytina mambo?
Usifikie gesti ukija Dar bana. Kuna JF members wengi wanaweza kukupa accomodations.
Mi kabla sijaoa, afu huyu mama matesha anipe wazo la "twende gesti"... Anakula talaka ya uchumbani!
Duh!hii kali!naomba afikie kwangu!!!
Hiyo safari yako haina allowance?
kwanini ulale guest wakati hotel zipo kama unasafiri kikazi?
aksante nduguWanasema maji hufuata mkondo! na akili hufuata mawazo/dhamira yako! Kama cku ya kwanza kuingia guest ndo ilikua cku ya kudo na ukapata maraha yooote, basi ndo maana kila ukiingia guest unakumbuka maraha mdogo wangu! Ila ucjali hilo sio tatizo, ukipata kazi ukianza kusafiri lazima utalala guest na kwa jinsi utakavyokua umechoka hata hilo wazo la maraha halitakuja utapaona kama sehemu tu pa kupunzika!
Na kuhusu huyu mpenzi wako mlokole (mshika dini) hamjawahi kufanya naye? kama mlishafanya hakuna sababu ya kuogopa kumwambia coz hakuna jipya hapo! Mweleze una hamu, guest ni sehemu ya tukio tu!
Merytina hivi yule mzungu ulifanikiwa si ndio usafiri nae uende nae Guest House
Ukiwa safarini na wewe Vuta jibaba likishughulikie kama unaona hao wanaopiga kelele gest wanakuzingua. Pia utakuwa umetimiza adhma yako ya kutafuniwa gest, usisubiri huyo jamaa yako kwani hatokukubalia.
siwezi/sitaki/sidiriki kumsaliti my bf.
hapa nazungumzia kulala na my bf gesti house na sio njemba ni njemba
Home: Geneva of Africa,mama mchagaa.baba nmgoni.
Nimekuwa nikisafiri kati ya DSM na ARUSHA.Kuna nyakati nalazimika kulala gesti house.Huko gesti husikia vilio vya maraha,kwenye corrido hupishana na waliokumbatiana yaan mihemuko hunijaa.
Hii imekuwa ugonjwa yaan once nikifungua chumba cha gesti huwaza 'maraha' nateseka as my BF is not there.
Kimbembe:My BF/Mchumba/mume ni mtu wa dini sana nashindwa/naogopa kumwambia ninaham tufanyie GESTI kwani atakuwa ananiwazia vibaya niwapo safarini.
Je nimwambie (twende gesti) ,IS THERE ANY ONE ELSE KILA ANAPOINGIA GESTI AKILI HUAMIA CHINI au nina matatizo?
aiseee.. mi naona hapo tengeneza safari ambayo utakuja nae dar tena mchelewe kuondoka arachuga ili mfike usiku, mkifika unamwomba mtafute gesti ya karibu kwani umechoka na unataka kua nae usiku huo... kitakachoendelea uje kutusimulia hapa
i like you Samora for this.aiseee.. mi naona hapo tengeneza safari ambayo utakuja nae dar tena mchelewe kuondoka arachuga ili mfike usiku, mkifika unamwomba mtafute gesti ya karibu kwani umechoka na unataka kua nae usiku huo... kitakachoendelea uje kutusimulia hapa