hata mimi sijui hili tatizo limeanzaje?nikifungua mlango wa gesti tu ....................nimeisha
Nataka kujua kama na wenzangu wana tatizo hili pls bacha nisaidie
Kwani ukienda naye hotel kama vile CITY NOVELTY, LION and the like itakuwaje? Mwmabie tu kwmaba leo nimechoka twende tukalale hotel!
Nadhani njia rahisi ni kuomba mume/mpenzi wako umtoe out na umwambie kabisa kuwa outing yenyewe si ya kurudi home siku hiyo,kisha mpeleke hoteli ukaburudike.Kwa nini ujiumize nafsi yako bure wakati yeye ni wako? vunja ukimya tuu.
Ni-PM kama hujanikuta ndio mwenyewe..... shauri yako maana mi nakucheki tu..... Ila nafarijika ninapokutana na viapo vyako vya kulinda uaminifu.... Basi mi nafurahia kukucheki kiaina vile....utani mwingine utazania ukweli.
Naapa naahidi sitodu na mwingine labda niachike
Sasa wewe Merytina, nini huwa kinakunyegesha, ni hiyo milio ya shughuli next room au wewe ukiingia room kwako tu mihemuko nayo inapanda? Ulishawahi kushughulikiwa gest before?
unasema kirahisi kwa kuwa humjui jamaa alivyo mdini.
ya nini kuliweka penzi kwenye mashaka
i like you Samora for this.
ila hujaniambia kama na wewe akili huamia chini unapoingia gesti?
currently sio milio bali imaginations ambazo nashindwa kuzifuta zinaanza pale tu napopewa funguo
sijawai fanyia gest
Subiria akuoe, mwende hotel. Not guest.jamani kwani kipi kibaya?
sina wa pembeni NA SITAKI ingekuwa hivyo ningesafiri naye kuja DSM
okey besthebu nenda kwa PM huko,
nimekuwekea mambo yote hadharani!!!!!!!
Ni-PM kama hujanikuta ndio mwenyewe..... shauri yako maana mi nakucheki tu..... Ila nafarijika ninapokutana na viapo vyako vya kulinda uaminifu.... Basi mi nafurahia kukucheki kiaina vile....
Kama ni mdini kweli si asingekumega mpaka akuoe!!! Au udini upo kwenye kuchagua mazingira ya tendo la uumbaji tu! lol!
Ukiona unashindwa kumwambia huyo wa kwako basi mtafute unayeweza kumwambia na umweleze......................Home: Geneva of Africa,mama mchagaa.baba nmgoni.
Nimekuwa nikisafiri kati ya DSM na ARUSHA.Kuna nyakati nalazimika kulala gesti house.Huko gesti husikia vilio vya maraha,kwenye corrido hupishana na waliokumbatiana yaan mihemuko hunijaa.
Hii imekuwa ugonjwa yaan once nikifungua chumba cha gesti huwaza 'maraha' nateseka as my BF is not there.
Kimbembe:My BF/Mchumba/mume ni mtu wa dini sana nashindwa/naogopa kumwambia ninaham tufanyie GESTI kwani atakuwa ananiwazia vibaya niwapo safarini.
Je nimwambie (twende gesti) ,IS THERE ANY ONE ELSE KILA ANAPOINGIA GESTI AKILI HUAMIA CHINI au nina matatizo?
aah wakufananaLol.. inategemea guest/au hotel yenyewe ikoje dear, kuna hotel/guest house zingine ziko kimtego sana, koridoni unakutana na couples zimekaa kimahaba au unapita mlangoni kwa mwenzio unasikia milio ya utamu hapo lazima nawe fikra zihamie chini its natural wala sio tabia mbaya aisee ila usijaribu kufata tamaa za mwili..\
but kuna hotel zingine unaingia shwari kabisa kila mtu yuko busy na ripoti au mambo mengine yani strict bussiness hapo huwezi kujikuta na mihemuko ya kibaolojia!:bathbaby:
Mtoto unapenda sana michezo ya kikubwa wewe hahahahaaa, yaani kushika funguo tu huwazi kuoga maji moto huwazi kulala wala kuongea na simu kwa mahaba na mmasai wako? jitafuttia activities za kufanya ukiingia room, hata kama kupanga begi upya na kuchatio na friends mpaka unapitiwa, kama vipi one nite stand ila ufate rules zake lol!!! jokeaksante dear!
sisi hupew 45000 (private company)tunaposafiri sasa hiyo hotel sijui ntalipiaje hata kama ni 30000
hata nisiposikia miguno ile hali ya shika funguo za chumba chako mimi naanza kupungukiwa akili.
Unajua home nalala na ndugu yetu flani, kuna kelele za madogo ila gesti kimyakimya mawazo mbaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Kwanini uteseke hivyo mamy? Si uniambie tu kavukavu ili tufahamiane?
Subiria akuoe, mwende hotel. Not guest.