wakuu naombeni msaada wenu,naogopa sana sana kupima kama nina virusi vya ukimwi,kusema kweli nilikopita na wanawake niliochukua ndio hasa kumbukumbu inanifanya nifikie hatua hiyo
mungu anisaidie lakini mimi mwoga mno kupima wazee;;msaada nifanye nini??japo siumwi lakini nahisi huenda nilishaupata kutoka kwenye matukio ya nyuma