Naogopa kupima ukimwi kuliko kitu chochote

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,420
nitapata wapi huo ujasiri mimi?na wametangaza hakuna dawa milele
 
Vile vifaa siku izi vinapatikanika,, muombe dr akupe afu unajipima mwenyewe.
 
nitapata wapi huo ujasiri mimi?na wametangaza hakuna dawa milele
mmkuu mimi nilikuwa naogopa siwezi hata kukueleza ila kujua afya yako ni jambo jema sana nilikuwa naogopa hata kubeba mimba maana ni lazima mama mjamzito apime
ila namshukuru mungu nimepima niko fresh ni full kujiachia sasa natafuta tu baba mtoto
 
Nichukue mimi basi smile
 
[mmkuu mimi nilikuwa naogopa siwezi hata kukueleza ila kujua afya yako ni jambo jema sana nilikuwa naogopa hata kubeba mimba maana ni lazima mama mjamzito apime
ila namshukuru mungu nimepima niko fresh ni full kujiachia sasa natafuta tu baba mtoto)

Smile ilo nalo neno inabidi tusomane maana umri unaenda na mimi natafuta kinyume chake hiyo
 
vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Kwa maisha ya amani,uhakika na furaha ni kupima na kujua afya yako,
Acha woga utaishi mpaka lini?
Ikiijua afya yako utajua namna ya kuishi ukiwa unailinda afya yako nenda kapime.
 
kama unaogopa na kwa wale wanaopimapima, wote ni viwembe.
 
jamani dawa ni kubadili tabia kwa wote wawili sio mmoja ni kazi bure kuishia kupima tu then mwendo mdundo,ni sawasawa na ujitibu malaria halafu unalala bila neti utauguwa tena na tenaaaa, ni hayo tu
 
Yaani hamna raha kama kupima, baada ya hapo unajisikia raha ya ajabu moyoni mwako and then you become more careful
 
nitapata wapi huo ujasiri mimi?na wametangaza hakuna dawa milele

Mbona kupima ki2 rahisi sana!! mi nishapima kama mara 3 hivi!! majibu ndio huwa sichukui.
 
Hahaha,kaaazi kweli kweli.
Inaonekana mama ushauri siku hizi hawapo kabisa
 
mmkuu mimi nilikuwa naogopa siwezi hata kukueleza ila kujua afya yako ni jambo jema sana nilikuwa naogopa hata kubeba mimba maana ni lazima mama mjamzito apime
ila namshukuru mungu nimepima niko fresh ni full kujiachia sasa natafuta tu baba mtoto
karibu sana mtoto.
 
nitapata wapi huo ujasiri mimi?na wametangaza hakuna dawa milele

....Itabidi uutafute huo ujasiri haraka iwezekanavyo ili ukapime afya yako. Utakosa raha na kuwa na wasiwasi sana lakini huna jinsi inabidi tu ujitutumue na kwenda kujiangalia kama uko salama au umeshadhurika. Siku ile ya AIDS duniani kama sikosei December 1, 2011 nilikuwa naangalia kipindi kimoja walikuwa wanazungumzia kuhusu umuhimu wa kupima na wakasema sasa hivi ni 20 minutes tu tayari umeshajua hali yako. Kila la heri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…