Naogopa kutumia huduma za kifedha kuhifazi hela

Nikola24

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2024
Posts
222
Reaction score
517
Habari wadau

Nataka kuanza mpango wa muda mrefu kuhifadhi pesa.Nimechagua kuhifadhi kidigitali yaani huduma za kifedha kwenye laini ya simu au benki.

Sasa tatizo naogopa kujibiwa maana naamini wafanyakazi watoa huduma hizo wanaweza kunipiga tukio.

So naombeni ushauri nikae sawa kimtazamo!
 
Nunua ardhi na kuuza utakapozihitaji!
 
Na vipi kuhusu mawakala mnao watumia pesa ili mpate coins, Nasikia baadhi yao huwa ni matapeli.
Sio lazima umtumie wakala unaweza kununua mwenyewe direct kwa bank card au mitandao ya simu like voda tigo n.k pia kuna kitu mawakala wanaitwa P2P hapa hakuna wizi na wakala hawezi kuiba... Hao uwaosema ni wezi sababu newbies Ndio wanatapeliwa sababu ya elm finyu
 
Hiyo ya kununua direct kwa bank card, ni kwamba unanunua kwa nani na atakaye kutumia coin ni nani.
Na una nunuaje kwenye mitandao ya simu bila kumtumia wakala.

Nipe darsa mkuu.
 
Unaposema unanunua Direct I mean... Linakuwa na exchange mbali mbali pia mifumo kadhaa na kadhaa ya kifedha inakuwa ni partner wa exchange fulani au coin fulani sasa ikiwa ni partner na coin husika au exchange maana yake hiyo exchange inakuwa direct moja kwa moja na sarafu zilizopo sokoni na kama MFUMO Fulani nao unakuwa integration na sarafu Fulani so wewe ukiitumia hiyo kampuni au exchange coin zinatoka sokoni direct mpaka kwenye wallet yako sababu coin mpaka uingie kwenye exchange fulani lazima iwe integration na hiyo exchange sababu coin huingia kwenye exchange au mashirika Fulani ya kifedha Kwa ajiri ya kuuzika so soko la kununulia ni exchange iwe decentralized au centralized exchange Naam Sasa ikiwa listing kwenye exchange fulani Wana integration chain husika na exchange na kiasi supply ambayo iko sokoni yani kwenye mzunguko circulating supply so wewe ukitumia hiyo exchange kununua maana yake coin unatoka Moja Kwa Moja kwenye supply na kuingia kwenye exchange Kisha exchange Ina badilisha automatic wao wanakua pesa then coin inakuja kwako haya yate hufanyika automatic... Sizani kama utaelewa
 
Habari wadau

Nataka kuanza mpango wa muda mrefu kuhifadhi pesa.Nimechagua kuhifadhi kidigitali yaani huduma za kifedha kwenye laini ya simu au benki.

Sasa tatizo naogopa kujibiwa maana naamini wafanyakazi watoa huduma hizo wanaweza kunipiga tukio.

So naombeni ushauri nikae sawa kimtazamo!
Tumia kibuyu
 
Unaposema unanunua Direct I mean... Linakuwa na exchange mbali mbali pia mifumo kadhaa na kadhaa ya kifedha inakuwa ni partner wa exchange fulani au coin fulani sasa ikiwa ni partner na coin husika au exchange maana yake hiyo exchange inakuwa direct moja kwa moja na sarafu zilizopo sokoni na kama MFUMO Fulani nao unakuwa integration na sarafu Fulani so wewe ukiitumia hiyo kampuni au exchange coin zinatoka sokoni direct mpaka kwenye wallet yako sababu coin mpaka uingie kwenye exchange fulani lazima iwe integration na hiyo exchange sababu coin huingia kwenye exchange au mashirika Fulani ya kifedha Kwa ajiri ya kuuzika so soko la kununulia ni exchange iwe decentralized au centralized exchange Naam Sasa ikiwa listing kwenye exchange fulani Wana integration chain husika na exchange na kiasi supply ambayo iko sokoni yani kwenye mzunguko circulating supply so wewe ukitumia hiyo exchange kununua maana yake coin unatoka Moja Kwa Moja kwenye supply na kuingia kwenye exchange Kisha exchange Ina badilisha automatic wao wanakua pesa then coin inakuja kwako haya yate hufanyika automatic... Sizani kama utaelewa
Kwahiyo na kwenye kuuza coin nako hivyo hivyo, sio lazima kuwatumia mawakala
 
Back
Top Bottom