POaHiyo bank iko poa? Nitafanya research kuijua . shukrani
Makato Kila Tshs Moja UnayoiwekaIna maana machale yangu yapo sahihi? Yaani Kuna utapeli huko naogopa kupigwa tukio
Nunua ardhi na kuuza utakapozihitaji!Habari wadau
Nataka kuanza mpango wa muda mrefu kuhifadhi pesa.Nimechagua kuhifadhi kidigitali yaani huduma za kifedha kwenye laini ya simu au benki.
Sasa tatizo naogopa kujibiwa maana naamini wafanyakazi watoa huduma hizo wanaweza kunipiga tukio.
So naombeni ushauri nikae sawa kimtazamo!
Nasikia huko ukipoteza password ndiyo imekula kwako.Uweka kwenye Blockchain technology
Uweka kwenye Blockchain technology
Bila shaka.. lakini unaweza recovery via Gmail kwa baadhi wallet..Nasikia huko ukipoteza password ndiyo imekula kwako.
Ni kweli mkuu ?
Sio lazima umtumie wakala unaweza kununua mwenyewe direct kwa bank card au mitandao ya simu like voda tigo n.k pia kuna kitu mawakala wanaitwa P2P hapa hakuna wizi na wakala hawezi kuiba... Hao uwaosema ni wezi sababu newbies Ndio wanatapeliwa sababu ya elm finyuNa vipi kuhusu mawakala mnao watumia pesa ili mpate coins, Nasikia baadhi yao huwa ni matapeli.
Hiyo ya kununua direct kwa bank card, ni kwamba unanunua kwa nani na atakaye kutumia coin ni nani.Sio lazima umtumie wakala unaweza kununua mwenyewe direct kwa bank card au mitandao ya simu like voda tigo n.k pia kuna kitu mawakala wanaitwa P2P hapa hakuna wizi na wakala hawezi kuiba... Hao uwaosema ni wezi sababu newbies Ndio wanatapeliwa sababu ya elm finyu
Au sio, na ikitokea ukaugua usisumbue ndugu zako.Kila ukipata tumia
Unaposema unanunua Direct I mean... Linakuwa na exchange mbali mbali pia mifumo kadhaa na kadhaa ya kifedha inakuwa ni partner wa exchange fulani au coin fulani sasa ikiwa ni partner na coin husika au exchange maana yake hiyo exchange inakuwa direct moja kwa moja na sarafu zilizopo sokoni na kama MFUMO Fulani nao unakuwa integration na sarafu Fulani so wewe ukiitumia hiyo kampuni au exchange coin zinatoka sokoni direct mpaka kwenye wallet yako sababu coin mpaka uingie kwenye exchange fulani lazima iwe integration na hiyo exchange sababu coin huingia kwenye exchange au mashirika Fulani ya kifedha Kwa ajiri ya kuuzika so soko la kununulia ni exchange iwe decentralized au centralized exchange Naam Sasa ikiwa listing kwenye exchange fulani Wana integration chain husika na exchange na kiasi supply ambayo iko sokoni yani kwenye mzunguko circulating supply so wewe ukitumia hiyo exchange kununua maana yake coin unatoka Moja Kwa Moja kwenye supply na kuingia kwenye exchange Kisha exchange Ina badilisha automatic wao wanakua pesa then coin inakuja kwako haya yate hufanyika automatic... Sizani kama utaelewaHiyo ya kununua direct kwa bank card, ni kwamba unanunua kwa nani na atakaye kutumia coin ni nani.
Na una nunuaje kwenye mitandao ya simu bila kumtumia wakala.
Nipe darsa mkuu.
Tumia kibuyuHabari wadau
Nataka kuanza mpango wa muda mrefu kuhifadhi pesa.Nimechagua kuhifadhi kidigitali yaani huduma za kifedha kwenye laini ya simu au benki.
Sasa tatizo naogopa kujibiwa maana naamini wafanyakazi watoa huduma hizo wanaweza kunipiga tukio.
So naombeni ushauri nikae sawa kimtazamo!
Kwahiyo na kwenye kuuza coin nako hivyo hivyo, sio lazima kuwatumia mawakalaUnaposema unanunua Direct I mean... Linakuwa na exchange mbali mbali pia mifumo kadhaa na kadhaa ya kifedha inakuwa ni partner wa exchange fulani au coin fulani sasa ikiwa ni partner na coin husika au exchange maana yake hiyo exchange inakuwa direct moja kwa moja na sarafu zilizopo sokoni na kama MFUMO Fulani nao unakuwa integration na sarafu Fulani so wewe ukiitumia hiyo kampuni au exchange coin zinatoka sokoni direct mpaka kwenye wallet yako sababu coin mpaka uingie kwenye exchange fulani lazima iwe integration na hiyo exchange sababu coin huingia kwenye exchange au mashirika Fulani ya kifedha Kwa ajiri ya kuuzika so soko la kununulia ni exchange iwe decentralized au centralized exchange Naam Sasa ikiwa listing kwenye exchange fulani Wana integration chain husika na exchange na kiasi supply ambayo iko sokoni yani kwenye mzunguko circulating supply so wewe ukitumia hiyo exchange kununua maana yake coin unatoka Moja Kwa Moja kwenye supply na kuingia kwenye exchange Kisha exchange Ina badilisha automatic wao wanakua pesa then coin inakuja kwako haya yate hufanyika automatic... Sizani kama utaelewa
Yes kuuza coin nako hivyo hivyo ila ukitaka unatumia mawakala kwenye exchange kama binance unaweza kusell moja kwa moja Direct pesa ikaingia bank bila wakalaKwahiyo na kwenye kuuza coin nako ivo ivo, sio lazima kuwatumia mawakala