Mamaa Kigogo
Senior Member
- Sep 26, 2011
- 105
- 43
kwakweli mimi huwa nikiwaza swala zima la ndoa huwa nadata kabisaaaa coz hawa wanaume macho juu juu sana na mimi nina wivu hatari kwakweli naona nikiolewa nitaozea lupango.sitaki mtu acheze na mali yangu . naomba ushauri jamani nibaki single au nijitose kwenye ndoa
we si umeolewa na unatafuta mtaalamau wa chachandu ili umdhibiti mumeo. Kuna thread humu umeandika.kwakweli mimi huwa nikiwaza swala zima la ndoa huwa nadata kabisaaaa coz hawa wanaume macho juu juu sana na mimi nina wivu hatari kwakweli naona nikiolewa nitaozea lupango.sitaki mtu acheze na mali yangu . Naomba ushauri jamani nibaki single au nijitose kwenye ndoa
baelezee kipipi baambi hiyo mutu juu ya ndoa si sawa na kulaga wali na sombe.bilengi nayo.ndoa ni vita. Nasikitika kukwambia kuwa huo ndio ukweli wenyewe, tena ukweli wenye machungu! {source: Gaga & teamo}
kwakweli mimi huwa nikiwaza swala zima la ndoa huwa nadata kabisaaaa coz hawa wanaume macho juu juu sana na mimi nina wivu hatari kwakweli naona nikiolewa nitaozea lupango.sitaki mtu acheze na mali yangu . naomba ushauri jamani nibaki single au nijitose kwenye ndoa
baelezee kipipi baambi hiyo mutu juu ya ndoa si sawa na kulaga wali na sombe.bilengi nayo.