naogopa sana,..naomba msaada wakuu

kauga umenena

ndoa kua tulivu na endelevu ni utulivu wa wanandoa husika na sio miaka

Na Kukua kwa mtu sio miaka ni kufunguka kichwani
 
Last edited by a moderator:
kuna watu na 30 au 40 ndoa zina wazingua na wengine bellow 30 wanapeta tu... jiamini beba jiko maisha hayafanani na ndoa hazina copy and paste. Fanya maamuzi na be responsible.
 
kwanza nakupa hongera, wala usiogope broo, kikubwa ni uwe umelizika nae kitabia na mengneyo, haina shida weka kitu ndani ujinafasi kwa raha zako!
 
Inategemea kama kuna kitu cha kuwasubirisha, mf shule nk. Kama hamna, fanya tu uoe.
 
usijilazimishe kwa sababu ya kumridhisha mtu hata kama unampenda vuta subira ikifika muda muafaka wala hautakaa uombe ushauri utajikuta mwenyewe unataka mfunge ndoa.
 
Nivizuri ukasubiri kama hauko tayari! Jaribu kukaa nae chini umueleweshe unacho maanisha ata kuelewa sana. Ndoa ni zaidi ya kulala kitanda kimoja!
 

Snowball u can imagine....mimi katika umri huo nishaingia ndoani tayari! hadi sasa nipo and nothing has hapenned. kama alivosema Kaunga umri haujalishi sana katiba inasema ukifikisha miaka 18 tayari we ni mtu mzima. jengine ni kuwa wanaweza kuoana wakatafuta pamoja, I mean ile mnaanza na stuli moja na kitanda, basi. Mapenzi yakiwemo, wala hakuna tatizo .
 
Last edited by a moderator:

Yaan hata yeye anaweza kama mimi naona pesa yangu haitoshi. Nyumba nimepewa ndogo ya couples
 
thanx ver much guyz nimefunguka vibaya sana now i knw siko tayari. Sio ili nifanye uzinifu laa bali nimpe muda bcoz all da time gals are ready for marriage
 
napita, nikishaoa nitakushauri ndugu, ila ndo lazima ianzie ndani na si nje.
 
mi nahisi inategemea na akili za mtu maana ukishaelewa maana ya ndoa na ndoa inahitaji nini haina haja ya kujua umri sasa ni akili za mtu. ndoa ni ndoano kama hautakubali wala kujijua jinsi ya kuisha kwenye misingi ya ndoa yenyewe. kaka yangu jua hayo na kama mmejipanga pia kimaisha unaweza kuoa.
 

Thanx much. Umenifunga to some extent
 
thanx guyz ur arguement zenu zina nifungua naanza kujua chakufanya
 
Jilipue uwezo mnao msuli mnao tanua paja kaka,liwalo na liwe!
 
Baba yangu alioa akiwa na miaka 23 mama 21 na waliweza kaa pamoja kwa miaka zaidi ya 20...na hata ketengana kwao ziwezi kukuhusisha na kuoana wakiwa wadogo.

Kuna raha yake kuoa na kuzaa ukiwa unadai, hata watoto wanafurahi kuwa na wazazi vijana na nyie kuwa na watoto wakati bado mndai.

Tatizo naloliona ni wewe kujiunga na JF ukiwa mdogo...unajua umeingiwa na woga wa kuoa sababu ya kusoma shuhuda humu za mifano ya ndoa ndoano...Sishauri vijana wadogo kuanza kupitia nyuzi za kukatisha tamaa...utakuwa umekuwa affected bila kujua. Lol

Kuna member mmoja humu anasemaga kuwa ni asilimia ndogo sana ya ndoa zenye mikwaruzo sugu...ila hao wachache wanasimulia sana matatizo yao na kufanya jamii iamini kuwa ndoa zote ni ndoano which is not true. Ndoa raha bana kuna vicheko...kuna uhakika wa company...kuna furaha ya watoto...above all kuna raha ya kuwa responsible (Mother or father) kutegemewa na familia raha bana kuna kupa meaning of life.

Mi leo nikipanda ndege nasali isianguke nikafa si kwa kuwa napenda sana kuishi ila najua kuna wanaonitegemea kama wife and mother.
 
muoe umuondelee nuksi huyo binti.... baada ya hapo hata mkiachana yeye atakuwa ameridhika
 

Una bahati sana braza..ninazo cases kadhaa za walioingia ndoani na umri huo na bahati mbaya they have performed badly...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…