kadiri kasimba Member Joined Jul 23, 2022 Posts 23 Reaction score 36 Sep 12, 2022 #1 Wana jf kwa mwenye kujua bei na mahali napoweza kupata wireless charger ya Samsung maana naona inachagua sana charge hii samsung yangu. Mahali ni daresalam natanguliza shukrani!
Wana jf kwa mwenye kujua bei na mahali napoweza kupata wireless charger ya Samsung maana naona inachagua sana charge hii samsung yangu. Mahali ni daresalam natanguliza shukrani!