Naoma msaada wenu

delako

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
2,902
Reaction score
1,875
Habari wana jf,natumai mu wazima!Leo nimekuja jukwaani hili niombe msaada wa ushauri na matibabu pia,Nina mdogo wangu wa kiume yupo kidato cha kwanza sasa,Tatizo linalomkabiri ni ametokwa na maziwa km ya watoto wa kike!yalianza mwez wa nne mwaka huu na yanamnyima sana uhuru hata kukaa boarding limekuwa tatizo kwake kwan wenzake wakimuona wanamtania..JE KUNA TIBA YOYOTE HATA YA KIENYEJI NAWEZA PATA NIKAMSAIDIA?
Naombeni sn ushauri na msaada wenu niweze mrudisha ktk hali ya kawaida.
NAOMBA KUWASIRISHA.anapata shida sana kwani hata kucheza na wenzake anacheza kwa taadhari wasije wakamuona
 
Umeshaenda kwa wataalamu wa afya ndugu?jambo hlo co la kawaida kabsa huenda labda kunavichocheo (hormonies) vya kiume ambavyo vimekua na kumsababishia matiti hayo na huenda labda vikamuathiri zaidi. Mwone dactari atamsaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…