samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 355
Tatizo sio nauli aje chuo ataishije bila pesa ya kujikimu?Vipi,kwan huna nauli?
Mara zote huwa serikali ya J.K Inawasikiliza wapiga kelele, na hawa wapiga kelele wameshapata boom sasa sisi wengine tuliobakia tusubiri baada ya kulipwa kwa DOWANS ndio itakuwa ni zamu yetu, labada tushauriane kuwa tutumie utaratibu gani ili mawea yapatikane
Vipi,kwan huna nauli?
Ivi hii mikopo ya vyuo vikuu nitatizo la bodi yamikopo au ni vyuooni?kwani tunashindwa kuelewa,tulishazoea kuwekewa hata kabla ya kufungua vyuo,mwaka huu imekuaje,tunaomba tujuzanine ili tuliamushe maana hawarespond hadi waone kuna uhalibifu na uvunjifu wa amani,tumechokaa,kwanini chuo cha dsm wapewe na sisi bado?