Naomba ajira ya radio mimi ni professional mbaya ya radio.

Naomba ajira ya radio mimi ni professional mbaya ya radio.

Logo

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
588
Reaction score
48
Nina diploma ya media production iliyo major kwenye radio production licha ya kwamba ninaweza kufanya kazi zote za tv na video. Kazi zote za redio nafanya hasa ukiniweka kuwa programme manager radio yako itatajirika. Nioneni basi wana jf!
 
Toa kwanza hilo vuvuzela makalioni halafu tuwasiliane
 
hivi unatangazia wapi na hiyo proffesional yako mbaya nilazima uweke huo ujinga nyuma ?ebu iangalie vizuri hiyo avatar maana lazima mtu yeyote acheke then ajiulize wewe vipiiii? samahani lakini.
 
Umeshakosa ile first impression kutokana na avatar yako ya kihuni
 
Mmh!
Watu wanaangalia avatar, posts, threads, signature, username....! Lol, nahisi na pm wanatamani wangekuwa wanaona .
 
Nina diploma ya media production iliyo major kwenye radio production licha ya kwamba ninaweza kufanya kazi zote za tv na video. Kazi zote za redio nafanya hasa ukiniweka kuwa programme manager radio yako itatajirika. Nioneni basi wana jf!

Kutokana na hiyo avatar inaonyesha unaiweza kazi maana nimvumilivu kwa kupuliza vuvuzela na kijambio dah
 
kwisha maneno tupilia mbali avater asiyeelimisha jamii na kurudi kwa mtindo wa kidhungudhungu!
 
Angalia vizuri maelezo yako....hutaweza kupata ajira kwa professional yako mbaya
 
Asante baba yangu, ngoja niiprone fresh
 
Nina diploma ya media production iliyo major kwenye radio production licha ya kwamba ninaweza kufanya kazi zote za tv na video. Kazi zote za redio nafanya hasa ukiniweka kuwa programme manager radio yako itatajirika. Nioneni basi wana jf!
Mazunguse, nimekuona na nimekukubali, hata avatar yako ni AKG. Jeshi la kujenga Taifa, wanaanzisha redio, inaitwa Redio Mestin, hawajatangaza nafasi za ajira, lakini unaweza kufuatilia, ila uwe makini sana na ajira za Radio Mbao!
 
Asante sana mkuu! ngoja nicheki na hao wa kugangamala!
 
mmh!
Watu wanaangalia avatar, posts, threads, signature, username....! Lol, nahisi na pm wanatamani wangekuwa wanaona .

baadhi ya vitu kama hivi huwa vina determine tabia ya mtu.
 
Fika ofisi za Safari FM hapa Mtwara, jamaa wanasaka kwa udi na uvumba program manager.
 
Back
Top Bottom