Naomba anaejua jinsi ya kupata Barcode anijulishe

mfuga kuku

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2014
Posts
824
Reaction score
650
Habari wadau,

Siku za karibuni nimeanza kufanya biashara za usindikaji, nasindika asali na korosho, ila nna changamoto ya kuwa na barcode kwa bidhaa zangu, naomba kwa anaejua mchakato wa kupata barcode, anijulishe na kama anajua gharama zake pia anijulishe.

Ahsante sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…