Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana JF, Kwa yeyote yule anayefahamu lawyer au advocate offices za utetezi hususan waliobobea kwenye sheria za utoaji Ardhi/ viwanja. Nitashukuru sana, maana nataka kudhurumiwa kiwanja changu.
Niambie unataka wa namna gani maana mimi nawafahamu affordable, hali ya kati na hali ya juu, sema unataka yupi kati ya hawa
Nahitaji wote ili nikishaongea nao nitafahamu yupi atakaye nifaa, nashukuru sana kwa response yako mkuu..
Cheki na huyu hapa 0713421043 SAMSON RUSSUMO & CO. ADVOCATES,office yake ipo Kariakoo mtaa wa Swahili
Piga 0758144803 achana na hao wachumia matumbo..
Kumbuka kuwa tacit knowledge ambayo expert hawezi kuiweka kwenye vitendo... Couches hawezi kucheza mpira pamoja na kuwa wanaufundisha....Ila Fimbo ni mzuri, ameandika sana kuhusu ardhi and the likeHao wote waliotajwa wamefundishwa na huyu
Prof gamaliel mgongo fimbo na hao mahakimu na majudge wamepitia kwake so nenda kamuone bingwa wa mabingwa
Nenda udsm school of law utampata au contacts zake utapata
0627024916Wana JF, Kwa yeyote yule anayefahamu lawyer au advocate offices za utetezi hususan waliobobea kwenye sheria za utoaji Ardhi/ viwanja.
Nitashukuru sana, maana nataka kudhurumiwa kiwanja changu.
Huyu labda washindwane bei tu. Lakini Fimbo ni mwalimu wa walimuHao wote waliotajwa wamefundishwa na huyu
Prof gamaliel mgongo fimbo na hao mahakimu na majudge wamepitia kwake so nenda kamuone bingwa wa mabingwa
Nenda udsm school of law utampata au contacts zake utapata
Nina imani kabisa kuwa wewe uliyendika hapa sio wakili wala mwanasheria na kama ni hivyo, basi jifunze namna ya kukosoa michango ya wenzako kwa lugha yenye staha. Na kama ni wakili basi utakua na tatizo kubwa sanaaaa kwenye taaluma yako.Piga 0758144803 achana na hao wachumia matumbo..
Soma pia kesi ya Imerimeleva na kesi ya Scholastica Benedict, Fimbo ni academia mzuri, hata akishindwa kesi, mtiti wake unauona.Proffessor Gamalieli Mgongo Fimbo (Advoacte)
Reference
BISHOP METHUSELA NYAGASWA's CASE
SUZANA KAKUBUKUBU CASE
Maybe wakati mnafundishwa kuhusu kuheshimiana miongoni mwa court officers ye hakuwepo dalasaniWewe utakuwa sio wakili na pengine sio mwanasheria kabisa sababu kwa maadili tulofundishwa wanasheria hautakiwi kutoa lugha chafu na ya kuudhi dhidi ya mwanasheria mwenzio au mtu yoyote kwenye jamii.