Naomba anayejua atujuze

Naomba anayejua atujuze

MrIsidori

Senior Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
191
Reaction score
83
Naomba anayejua utaratibu wa kufuata wa ku-export nyanya nje, utayarishaji, packing nk. Natanguliza shukrani za dhati kwenu wana jamiiforums wote!
 
Mkuu eleza kwanza targeted market maana km ni europe babaaake wanamasharti haooo ni baraaa. Ila km unapeleka somalia aaa ni rahisi tu ila jifunze kukwepa magruneti ya wanaume mashabaab almjahideena!
 
Ni-target soko la ulaya, ningefurahi sana kama ungenijuza taratibu zake Mkuu!
 
Back
Top Bottom