Sir M.D.Andrew
JF-Expert Member
- Jul 30, 2012
- 201
- 37
Ni kajana wako au ni wewe mkuu,ebu kuwa wazi?
Ndugu zangu,nina kijana wangu amemaliza kozi ya ualimu mwaka huu,amefauru masomo yote ya ualimu wa primary isipokuwa somo moja tu la UALIMU,Akaandikiwa FAILED,Nahitaji kukata rufaa naomba msaada mwenye kujua anieleweshe.tafadhali sana
Umeona eeeeeHumu hutapata majibu ya kueleweka,nakushauri tafuta contacts za necta uwasiliane nao wenyewe ndo watakupa maelekezo,vinginevyo humu utakejeliwa tu ingawa najua ni wewe ila tu umeamua kuuliza kiujanja kwa kumsingizia kijana wako.
Ndugu zangu,nina kijana wangu amemaliza kozi ya ualimu mwaka huu,amefauru masomo yote ya ualimu wa primary isipokuwa somo moja tu la UALIMU,Akaandikiwa FAILED,Nahitaji kukata rufaa naomba msaada mwenye kujua anieleweshe.tafadhali sana
Anaweza kwenda kurisiti palepale shuleni kwake au sehemu nyingine? Ahsante naona kumbe mpo wenye mawazo ya kusaidia mtu