Naanza kwa kumpongeza Raisi wangu mpendwa JPM Kwa utendaji wake yakinifu,hakika Katiba yetu haiko vizuri mkuu alistahili uraisi hata kama si wa milele basi walau mika 25.
Napenda kuwahakikishia mimi sifanyi kazi tume ya vya haki za binadamu na sio mwandishi wa habari za kumghasi mheshimiwa ,na ikiwa kuna mahali nimewahi wakosea Niko chini ya miguu ya kamati kuu ya NEC sirudii tena .
Na kwa wale mlio CHADEMA na ACT naujumbe mmoja tu kwenu '' MIMI NAOMBA MNIKOME NIKITEKWA MTAISHIA KUNI HASHTAG TU''
#bringback theonly
#bringback theonly
#bringback theonly
#bringback theonly
#bringback theonly