Naomba Chimbo la wauzaji Movies zilizotafsiriwa Online

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
3,045
Reaction score
3,389
Well,

Habari wakuu,
Nina kijiwe changu cha kuuza movies zilizotafsiriwa kiswahili na ma DJ wa bongo.

Sasa na struggle sana kupata movies aisee. Kuna mwamba ananiuziaga ila ananiuzia ghali sana.

Natamani nipate chimbo zuri iwe group au hata Dj mwenyewe directly awe ananiuzia jumla. Huwa nachukua quantity kubwa ya movies

Tupeane connection DM au hapa hapa kwenye huu uzi ili tuendelee kuwasakia ugali watoto

Natanguliza shukran
 
Ngoja nikutafutie connection
 
kwa kuwa ww unachukua kiasi kikubwa uwe chimbo letu kwa kuanzia utuuzie kwa bei chee kwanza
 
Movies zipo
Nilikua naulizia location ili nijue kama kuna uwezekano wa kufukishiwa ila kama hiyo imekua ngumu basi tufanye kwa njia ya kupandisha google drive
 
Back
Top Bottom