Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Ngoja nikutafutie connectionWell,
Habari wakuu,
Nina kijiwe changu cha kuuza movies zilizotafsiriwa kiswahili na ma DJ wa bongo.
Sasa na struggle sana kupata movies aisee. Kuna mwamba ananiuziaga ila ananiuzia ghali sana.
Natamani nipate chimbo zuri iwe group au hata Dj mwenyewe directly awe ananiuzia jumla. Huwa nachukua quantity kubwa ya movies
Tupeane connection DM au hapa hapa kwenye huu uzi ili tuendelee kuwasakia ugali watoto
Natanguliza shukran
Nahitaji pia BossMkuu ushapata
Mkuu upo pande zipiNahitaji pia Boss
+255 785 345 494
Bado mkuuMkuu ushapata
Mkuu upo pande zipiBado mkuu
Kwa drive itapendeza sanaMovies zipo
Nilikua naulizia location ili nijue kama kuna uwezekano wa kufukishiwa ila kama hiyo imekua ngumu basi tufanye kwa njia ya kupandisha google drive
Oky safi sana..Kwa drive itapendeza sana