Habari wandugu!!
Naomba kama kuna yeyote aliye maeneo au ana contacts reliable za kibiashara hasa Mbao na mazao mengine kama Korosho kutokea ukanda huo wa Mtwara Wilaya ya Nanyumbu. Tuwasiliane tafadhari.
Anaweza ni check inbox Kwa mawasiliano zaidi.
Asante.