Naomba connection na Mchina, nataka kuagiza mzigo

Naomba connection na Mchina, nataka kuagiza mzigo

achiiachii

Member
Joined
Sep 11, 2022
Posts
50
Reaction score
196
Mambo,

Mtu ambaye anaagiza mizigo china na anamtumia mchina kufunga mzigo please naomba msaada wa hiyo connection, au hata mwenye marafiki wa china.
 
Mkuu,
wachina ni wengi na wanafanya biashara tofauti tofauti. unataka connection ya biashara gani?
 
Mambo,

Mtu ambaye anaagiza mizigo china na anamtumia mchina kufunga mzigo please naomba msaada wa hiyo connection, au hata mwenye marafiki wa china.
Wa contact Silent Ocean wale washirika wa Yanga, wenye GSM
 
Back
Top Bottom