Naomba connection ya ajira yoyote

Naomba connection ya ajira yoyote

ney24

New Member
Joined
Oct 4, 2024
Posts
2
Reaction score
3
Habari zenu

Naitwa neema, nina miaka 26 na nimemaliza degree ya Account and Finance, kama mnavyojua kazi changamoto, nimeshatuma cv sehemu nyingi na kufanya interview lakini bado hali ni ngumu kila iitwapo leo afadhali ya jana. Maisha yamekuwa magumu kwelikweli

Natafuta kazi yoyote iwe halali niweze kujikimu kwani hata uwezo wa kujiajiri sina kama mnavyoelewa sie tuliotokea kwenye familia za kawaida

Pia mtu mwenye connection ya kazi nje ya Tanzania niko tayari kufanya kazi za usafi, supermarket, restaurant

Tusaidiane jamani maisha ni magumu sana

For more information naomba tuwasiliane inbox

Asante
 
Wenye moyo mkuje mumsaide da Neema jmn kazi yyt ,,

Da Neema ningekuforce mahali duka la vipodozi semaa yaliyonikutaa Kwa wawili niliwaonganishia kazii kiukweli moyo umevunjikaa na aibu nikapata mm..
 
Weka location ya ulipo kwa sasa ila uelewe fika kuwa mwanzo mgumu japo si kwa wote.
 
Back
Top Bottom