ndo meneja au sio?Hahahaha sawa kiongozi, labda tu nikupe TITTLE ya ngoma inaitwa SIO RAHA mkuu. Karibu sana.
ndo meneja au sio?
au producer?
kumbe hujielewiWanaume huwa hawana maneno mengi kama watoto wa kike wanaume vyao ni vitendo tu and actions speak louder than words.
View attachment 1533328
Producer anaitwa Rubanza Jay na tayari nimeshapata mawasiliano yake kwa hiyo wee endelea na tabia za kike ndugu.
View attachment 1533331
Acha kazi iendelee. Hapa kazi tu.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]