Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Wakuu,
Kuna chimbo nimelipata pana gape ya vioo vya simu kuanzia viswaswadu hadi Smartphone.
Nimejaribu kusaka maduka yanayouza jumla, naona bei zimechangamka sana. Mfano kioo mafundi simu wanavyouza elf 30, madukani nao wananiuzia bei iyo iyo.
Tupeane connection nitakapopata kwa bei nzuri. Au kama upo huku na unafanya hiyo business nichek DM tufanye biashara