Naomba Connection ya kupata Wauzaji wa vioo vya simu kwa jumla kwa bei nzuri

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
3,045
Reaction score
3,389
Wakuu,

Kuna chimbo nimelipata pana gape ya vioo vya simu kuanzia viswaswadu hadi Smartphone.

Nimejaribu kusaka maduka yanayouza jumla, naona bei zimechangamka sana. Mfano kioo mafundi simu wanavyouza elf 30, madukani nao wananiuzia bei iyo iyo.

Tupeane connection nitakapopata kwa bei nzuri. Au kama upo huku na unafanya hiyo business nichek DM tufanye biashara
 
LIpia tangazo
 
Unapatikana wapi mkuu, karibu tufanye kazi kama upo serious. DM iko wazi pia
 
Ulipata mkuu.kama bado nikusaidie
 
Machimbo siku hizi tunalipia , njoo inbox ila uwe na hata 15k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…