Naomba connection ya mabelo nguo za mtumba Mwanza/Katoro

Bhudagala

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2014
Posts
325
Reaction score
311
Habari wadau! Kwa mnaoguswa na tozo kama mimi poleni sana.

Naomba kuutaarifu umma kwamba niko njiani kuingia kwenye biashara ya nguo za mtumba. Nimedadisi kiasi fulani nikaona nguo za mtumba ni biashara ambayo siwezi kukosa hela ya kula.

Changamoto niliyoisikia ni kwamba kwenye kununua belo/balo kuna kupigwa pia (umehitaji belo la nguo za watoto, ukafungua ukakuta nguo za kuchezea karate). Hapo ndipo chanzo cha mimi kuhitaji connection.

Aina ya nguo ambazo ninazihitaji ni moja au mbili kati ya hizi;
1. Masweta/pullovers
2. Suruali official za kiume
3. Mashati official ya kiume.

Nimeomba connection ya Mwanza au Katoro sababu ya urahisi wa mimi kufika na kuchukua mzigo. Asanteni sana.
 
Nguo za karate au sio.
 
Back
Top Bottom