Naomba connection ya mtu anayetoa Biashara bara kupeleka visiwani kama Unguja, Pemba na Mafia

kibonge90

Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
53
Reaction score
41
Naomba nipate mtu anayesafirisha biashara yeyote kutoka bara kwenda huko Pemba, Unguja Mafia na sehemu zingine za visiwa kupitia bagamoyo, Dar au Tanga.

Lengo ni kutaka kujifunza jinsi ya usafirishaji wa bidhaa na kujuwa biashara kwa ujumla wake huko visiwani.
 
Wakikujibu ninukuu nije kupata mawazo mapya.
 
Ma ajenti wapo bandarini hapo wa unguja na pemba ukienda utawakuta au bagamoyo wapo kupitia majahazi
 
Nitaweza kukupa ya mtu wa Mafia but ye hutoa mzigo Mafia na kuleta Dar so sijui atakusaidia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…