Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Habari za asubuhi wadao. Naomba connection ya sehemu linapolimwa tumbaku na ugoro ukiachana na Ngaramtoni ya chini kule Arusha.
Nahitaji kama heka tano za kukodisha kwa ajili ya kulima msimu huu.
Nawakilisha.
Nahitaji kama heka tano za kukodisha kwa ajili ya kulima msimu huu.
Nawakilisha.