Naomba connection ya vitu used kutoka Uingereza au Japani

Naomba connection ya vitu used kutoka Uingereza au Japani

bintishomvi

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
1,164
Reaction score
833
Habari,

Kama nilivyotanguliza kichwa cha habari hapo juu nilikuwa na mpango wa kwenda uingereza kukusanya vitu used vya majumbani na viwandani mfano mashine ndogo ndogo na kubwa kwa makubaliana na mwenye nacho na pia vifaa vya majumbani na madukani kwa wale wanaosafisha stoo na wengineo.

Sasa nataka kujua namna ya kuifanya hii biashara siijui nianzie wapi kwa wale wazoefu miji hiyo au waliowai ifanya napokea mawazo na ushauri.

Samahani kwa uandishi usio mzuri zaidi.
 
Leta mzigo ila bei iwe nafuu pia sio blender used 150k eti imetoka Uingereza
 
Back
Top Bottom