Naomba contact za naibu waziri wa kazi

Naomba contact za naibu waziri wa kazi

wiseboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
2,930
Reaction score
3,305
habari zenu jamani, pls aliye na contact za naibu waziri wa kazi makongoro mahanga ani PM, NASIKIA YUPO ARUSHA NAMI NIPO ARUSHA LAKINI KWENYE HII KAMPUNI NINAYOFANYA INTERNSHIP KUNA UBAGUZI WA RANGI (Kwa mfano kuna mwarabu mmoja toka misri ameondoa viti katika kiofisi nilichopewa nipumzike kwa madai kwamba sina haki ya kukalia kiti, yeye ni msitaafu huko nchini kwao na mm ni graduate from school, je kuna yoyote anaweza kutoa msaada nifanyeje katika unyanyasaji huu WA RANGI ninaofanyiwa nikiwa nchini kwangu. PIA GENERAL WORKERS WANAFANYA KAZI KAZI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU, (MACHAFU) NA WAKIKOPLAIN HAWASIKILIZWI. ASANTENI
 
Pole sana na matatizo yaliyokufika. Mimi yalinikuta NSSF( udini)
 
Dah inauma sana,pole ndugu yangu bt plz ukiwasiliana naye tujulishe tujue n hatua gani serikali inawafanyia hao jamaa wanaotunyanyasa na kutudhalilisha nchini mwetu!
 
asanteni kwa wale mlionipa pole, namshukuru yule aliyeni pm ni kweli zile ni namba zake na amezisajili kwa jina lake, nimeisha mpa taarifa huyo mheshimiwa nasubiri respond yake... asanteni watanzania wapendwa
 
Back
Top Bottom