M mfocbsjut JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 475 Reaction score 253 Jul 18, 2015 #1 Wanajukwaa naomba mwenye contacts za kibondo sekondari anipatie, kuna mdogo wangu amepangiwa hapo kujiunga kidato cha tano. Nikipata contacts za headmaster au mwalimu yeyote wa hapo ntashukuru sana.
Wanajukwaa naomba mwenye contacts za kibondo sekondari anipatie, kuna mdogo wangu amepangiwa hapo kujiunga kidato cha tano. Nikipata contacts za headmaster au mwalimu yeyote wa hapo ntashukuru sana.