Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Mkuu vp matokeo npo Mogadishu sijapata updatesYanga bwana! Mmeshaanza. Mnatafuta visingizio vya 5-0 bila kesho Julai 03, mseme Karia kasababisha.
Acha mpira uchezwe.......... Wahuni na watu wa migogoro hawana nafasi tena
Kumbe ndio maana hana aibuJua tu kwamba ni Msomali
Wakilimanjaro hawajawahi kufail linapokuja swala la ManagementKiongozi bora wa TFF alikuwa Tenga peke yake. Wengine wote wa kabla na baada, walikuwa weziwezi. Ndolanga, Malinzi na Msomali Karia
Labda kujifananisha tujue Mbongo. AkiHili jinnana lmana Wallace ilikua je?
Namzungumzia Tenga as an individual. Failures wa Kilimanjaro wapo wengi kama ilivyo sehemu nyingine !Wakilimanjaro hawajawahi kufail linapokuja swala la Management
Wallace John Karia, ni mkristo au ni majina tu ya kwenye vyeti. Usomali na ukristo wapi na wapi?Jua tu kwamba ni Msomali
Nasikia mama yake mtu wa Tanga. Lakini baba ni Msomali no doubtWallace John Karia, ni mkristo au ni majina tu ya kwenye vyeti. Usomali na ukristo wapi na wapi?
[emoji366]Yanga bwana! Mmeshaanza. Mnatafuta visingizio vya 5-0 bila kesho Julai 03, mseme Karia kasababisha.
Acha mpira uchezwe.......... Wahuni na watu wa migogoro hawana nafasi tena
Majina ya kwenye vyeti hayoWallace John Karia, ni mkristo au ni majina tu ya kwenye vyeti. Usomali na ukristo wapi na wapi?
Mkuu vp matokeo npo Mogadishu sijapata updates
Hongereni...mmeshinda[emoji366]
Hongereni ...tunawasubiri Kigoma
Nadhani alikuwa DED Mvomero na pia aliwa kuwa mwekahadhina wa Halmashauri huko Manyara sikumbuki wikaya gani!Wallace Maria ni mtumishi wa serikali mara ya mwisho nadhani alikua DED ( sikumbuki wapi)
Yes DED mvomeroNadhani alikuwa DED Mvomero na pia aliwa kuwa mwekahadhina wa Halmashauri huko Manyara sikumbuki wikaya gani!
Sent using Jamii Forums mobile app
We ni nani?Habari.
Kuna mambo yanatokea katika hili shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) yanabaki kushangaza umma kwa aibu.
Sasa yanafanya mtu kujaribu kufatilia watu waliopo kwenye uongozi kufahamu CV zao.
Hebu tusaidieni CV ya Wallace Karia tumfahamu maana tunaweza kuwa tunamlaumu bure kumbe tunamuonea.
Maana soka la bongo linachafuliwa kweli kweli na nyundo ya FIFA ikitukosa tena basi tushukuru.
Tarehe 25 tunawapa kina Kabwili ili muwafunge 100 mfurahiHongereni ...tunawasubiri Kigoma
Hapo hapo.Hiyo CV ataipata wapi na wakati ni Mhamiaji haramu kutoka Somalia, aliyejipenyeza ccm na mwisho wa siku kuibukia kwenye Shirikisho letu la Mpira wa miguu ili kupiga hela za viingilio, Wadhamini na zile zinazotolewa na FIFA na CAF!!!
Hongera mbu3.Yanga bwana! Mmeshaanza. Mnatafuta visingizio vya 5-0 bila kesho Julai 03, mseme Karia kasababisha.
Acha mpira uchezwe.......... Wahuni na watu wa migogoro hawana nafasi tena
Na ndio maana kila mtu hawezi kuzungumza TFF kipindi ipo vizuri bila kumtaja TengaKiongozi bora wa TFF alikuwa Tenga peke yake. Wengine wote wa kabla na baada, walikuwa weziwezi. Ndolanga, Malinzi na Msomali Karia
Basi kama ni hivi sishangai kuona siasa ipo katika ubora wake TFF.Wallace Maria ni mtumishi wa serikali mara ya mwisho nadhani alikua DED ( sikumbuki wapi)
Mtanzania mwenye shauku ya kujua Tanzania Football Federation pamoja na viongozi wake.