kevoomarcus
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 495
- 905
Umesoma comb gan!? Tuanzie hapoHabari zenu waungwana. Nmeapply kozi ya computer systems and networks katika chuo Cha ardhi kwasababu napendelea sana ujuzi wa maswala ya computer. Je hii kozi inajitegemea , haihusiani na computer science au computer engineering?
PCB mkuuUmesoma comb gan!? Tuanzie hapo
Mkuu anything to do with any computer course in bongo, SELF SACRIFISE matters and do it for passion not otherwise.Habari zenu waungwana. Nmeapply kozi ya computer systems and networks katika chuo Cha ardhi kwasababu napendelea sana ujuzi wa maswala ya computer. Je hii kozi inajitegemea , haihusiani na computer science au computer engineering?
Watu mnafataliaš ndio nlipiga chuo mwaka mmoja kozi ikanishinda ko nka deregister, saiv ndo nmeanza upyahapa si ulisema uko chuo au??
View attachment 3053240
Bac tusiende mbal chukua computer sciencePCB mkuu
Unawezaje kusoma computer systems and networks ukajitenga na comp science inashare vitu vingi tu comp scienceHabari zenu waungwana.
Nmeapply kozi ya computer systems and networks katika chuo Cha ardhi kwasababu napendelea sana ujuzi wa maswala ya computer. Je hii kozi inajitegemea, haihusiani na computer science au computer engineering?