Naomba Diploma NACTE lakini hakuna sehemu ya kuweka namba ya Advance

Chiclette

Senior Member
Joined
Feb 17, 2024
Posts
133
Reaction score
222
Ninafanya application ya diploma ila nikimaliza advance sasa sehemu ya ku add qualification hamna qualification ya advance

Jambo la pili sioni sehemu ya ku submit maombi na sijui kama nilipofikia nimekamilisha na namba za hao jamaa wa nacte hazipatikani zooote

 
Ninavyojua diploma ni cheti cha kidato cha nne ndio kinaambatanishwa tu. Ngoja wataalam zaidi waje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…