Naomba direction

HoHY

Member
Joined
Oct 28, 2020
Posts
16
Reaction score
7
Waungwana hapa nafikiria kufungua kituo cha kuziba pancha lakini kwanza nahitaji hii machine ila sijui napata wapi mwenye ufahamu Naomba anielekeze niipate

Waungwana hapa nafikiria kufungua kituo cha kuziba pancha lakini kwanza nahitaji hii machine ila sijui napata wapi mwenye ufahamu Naomba anielekeze niipate
Wapi utapata | wapo utakosa hapa nchini, hakuna jinsi inabidi uagize.
- Amazon | Aliexpress | Utapata

=

=

= waweza kuagiza mwenye
Code:
1. https://www.amazon.com/Mophorn-Breaker-10000PSI-Hydraulic-Tractor/dp/B071VT79CR
=
2. https://www.aliexpress.com/item/1005002389508013.html?spm=a2g0o.detail.1000023.10.14b86799LDCi8a
= Au waweza kumpa mtu kazi akuagizie | Zaidi soma hapa - Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
 
Asante kwa nchini nimefeli kupata boss
 
Boss kuagiza online Amazon au alibaba inakuwaje Naomba mpangilio
 
Boss kuagiza online Amazon au alibaba inakuwaje Naomba mpangilio
=
Je umesoma nilichoandika kwenye hii link?

Nimeweka maelezo mengi ya kutosheleza, soma kisha nijulishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…