Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaelekea unaelewa sana haya mambo. Nakuomba unipe samari tu ya kuanza kwa ndani ya mwaka mmoja inakuwajeJe umeshaenda TRA kupata TIN ya hiyo kampuni?
Vipi makadirio yameshafanyika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kuelekezwa kodi zinazotakiwa ulipe baada tu ya kusajili kampuni brela au kodi baada ya kupata tin no tra then after mwaka ndo ujue jinsi ya kulipa kodi? Tuanzie hapo ili tupate kuelewa lengo lako ni lipi ili nikusaidieNaelewa kuna kodi nyingi zinazostahili kulipwa TRA, ila kuna taratibu nyingi pia katika kuzilipa hizi kodi pamoja na kuandaa taarifa nyingi kwa nyakati tofauti katika mwaka.
Naomba kwa wale wenye uelewa na hii elimu watupe katika mtiririko mzuri.
Hapo kunaNaelewa kuna kodi nyingi zinazostahili kulipwa TRA, ila kuna taratibu nyingi pia katika kuzilipa hizi kodi pamoja na kuandaa taarifa nyingi kwa nyakati tofauti katika mwaka.
Naomba kwa wale wenye uelewa na hii elimu watupe katika mtiririko mzuri.
Mkuu nataka nijue kuanzia tu pale ninapopata TIN number tukichukulia mwaka wa kwanza kama mfano. AsanteUnataka kuelekezwa kodi zinazotakiwa ulipe baada tu ya kusajili kampuni brela au kodi baada ya kupata tin no tra then after mwaka ndo ujue jinsi ya kulipa kodi? Tuanzie hapo ili tupate kuelewa lengo lako ni lipi ili nikusaidie
Bado sijapata TIN ndio nafanya mandalizi ya mambo mengine yanahitajika kwa ajili ya TIN kiongozi.Je umeshaenda TRA kupata TIN ya hiyo kampuni?
Vipi makadirio yameshafanyika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa huu utaratibu ya kuwa cooporate number yako ndio TIN umeanza lini mkuu?Kwa utaratibu UNAANZIA BRELA kule unasajili kampuni yako na unapata namba ya utambulisho na kwa sasa namba hiyo huwa ndio TIN namba yako ambapo ukifika TRA ss inarekebishwa vitu kadhaa na kupewa TIN yako. Utaratibu wa makadilio na ufunguaji wa faili la kampuni hufata... Kisheria kampuni mpya huanza na kulipa STAMP DUTY ON RENTAL, WITHHOLDING TAX ON RENTAL.... NA COOPERATE TAX hii ni makadilio ambayo wewe mwenye kampuni unajikadilia kulingana na kampuni yako. Baada ya hapo unapatiwa tax clearnce ya kampuni yako. Kodi zingine zitafuta mwaka ujao kwa kuangalia faida ya kampuni ambapo hukuatwa 30% ya PROFIT..
KWA UFUPI TU..
Sent using Jamii Forums mobile app
We nenda BRELA utaona hilo..Hapa huu utaratibu ya kuwa cooporate number yako ndio TIN umeanza lini mkuu?
Hapo kuna
1. income estimates for corporate 30% inayolipwa Mara nne kila baada ya miez mitatu
2. Kuna withholtax mfano rent 10, security 5% kutokana na kila malipo ya rent au huduma kama ulinzi
3. Kuna Payee(mwajiriwa) na (SDL 4.5%,kuna wcf 1% ya gross salary mwajiri) monthly
4.kuna Nssf unamkata 10% unaongeza 10% mwajiri
5. Kuna city service levy nadhan les s than 1% manispaa inalipwa kila mwisho wa miez mitatu 3,6,9,12.
6. Kuna Vat hii sidhan kama biashara yako imefikia hatua hii
For more info Dm
Sent using Jamii Forums mobile app
MAKALA: Mambo muhimu ya kuzingatia kuhusu kodi kwa mtu anayeanza biashara - JamiiForumsNaelewa kuna kodi nyingi zinazostahili kulipwa TRA, ila kuna taratibu nyingi pia katika kuzilipa hizi kodi pamoja na kuandaa taarifa nyingi kwa nyakati tofauti katika mwaka.
Naomba kwa wale wenye uelewa na hii elimu watupe katika mtiririko mzuri.