Naomba elimu kuhusu masuala ya kodi kwenye kununua na kuuza umeme

Naomba elimu kuhusu masuala ya kodi kwenye kununua na kuuza umeme

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
Hivi nikinunua umeme natozwa VAT 18% je, Tanesco naye anawajibika kulipa TRA 18% ya umeme wote alio tuuzia sisi wananchi, kama ndio kwanini VAT inalipwa mara mbili kwa serikali kati ya watu 2 wanao fanyiana biashara.

Je, hii sio double taxation?

Au mimi nikilipa VAT kwenye umeme na ndio hiyo hiyo Tanesco wanawasilisha TRA.
 
Hivi nikinunua umeme natozwa VAT 18% je, Tanesco naye anawajibika kulipa TRA 18% ya umeme wote alio tuuzia sisi wananchi, kama ndio kwanini VAT inalipwa mara mbili kwa serikali kati ya watu 2 wanao fanyiana biashara. Je hii sio double taxation. Au mimi nikilipa VAT kwenye umeme na ndio hiyo hiyo Tanesco wanawasilisha TRA.
Mstari wa mwisho ndio jibu. VAT unalipa wewe, Tanesco wanaikusanyia serikali.
 
Back
Top Bottom