Hivi nikinunua umeme natozwa VAT 18% je, Tanesco naye anawajibika kulipa TRA 18% ya umeme wote alio tuuzia sisi wananchi, kama ndio kwanini VAT inalipwa mara mbili kwa serikali kati ya watu 2 wanao fanyiana biashara. Je hii sio double taxation. Au mimi nikilipa VAT kwenye umeme na ndio hiyo hiyo Tanesco wanawasilisha TRA.