So hapo huwezi kufuata kalenda no lazima condom itumike tu? Au nitajua vipi danger days?Emergence pills like P2 one of side effects ni kubadili mzunguko wa hedhi. Itachukua muda kurekebika kwa mzunguko ikitegemea na stability ya hormones zako.
NB: kama huna plan ya kuzaa watch out as danger days hubadilika badilika!
Tumia Condom au safe days after MP only.So hapo huwezi kufuata kalenda no lazima condom itumike tu?au nitajua vip danger days?
Unaweza lakini ukiona kuna mabadiliko usipaniki vumilia mpaka mwezi ujao itakaa sawaKwa hiyo kwa Sasa siwezi kuhesabu safe days after mp? Coz nimetumia hizo dawa tarehe 1 mwezi huu,
Mkuu nimerudi kuuliza Tena, coz nimepata hedhi mapema kabla ya tarehe zangu, lakini kinachoniogopesha Ni damu chache Sana, kiasi kwamba siku ya Kwanza at least ilitoka kiasi Cha kujaa pedi moja, siku ya pili ilikuwa chache zaidi, na siku ya tatu Ni vitone tu, je hi inaweza kuwa Ni moja ya effects za P2? Au ndo nishanasa tayari?Unaweza lakini ukiona kuna mabadiliko usipaniki vumilia mpaka mwezi ujao itakaa sawa
Lea yeyote mwenye uelewa na hili tafadhali naomba kuelimishwaMkuu nimerudi kuuliza Tena, coz nimepata hedhi mapema kabla ya tarehe zangu, lakini kinachoniogopesha Ni damu chache Sana, kiasi kwamba siku ya Kwanza at least ilitoka kiasi Cha kujaa pedi moja, siku ya pili ilikuwa chache zaidi, na siku ya tatu Ni vitone tu, je hi inaweza kuwa Ni moja ya effects za P2? Au ndo nishanasa tayari?
Yeah hayo mambo lazima yawe na Side effects ukishindwa tumia mpiraSawa mkuu,lakini hi Ni moja ya effects za kutumia P2?