Naomba elimu ya ujasiliamali

Naomba elimu ya ujasiliamali

Choux

New Member
Joined
Jun 10, 2014
Posts
2
Reaction score
0
Samahani ndugu zangu naomba mnisaidie aina kuu za ujasiriamali. ni muhim nizifahamu kabla sijaanza biashara.
 
Ujasiriamali unaweza kuugawanya kwenye aina 2 kuu, ujasiriamali binafsi na ujasiriamali kikundi (kampuni).
 
Back
Top Bottom