C Choux New Member Joined Jun 10, 2014 Posts 2 Reaction score 0 Dec 10, 2014 #1 Samahani ndugu zangu naomba mnisaidie aina kuu za ujasiriamali. ni muhim nizifahamu kabla sijaanza biashara.
Samahani ndugu zangu naomba mnisaidie aina kuu za ujasiriamali. ni muhim nizifahamu kabla sijaanza biashara.
pleo JF-Expert Member Joined Jun 20, 2013 Posts 3,444 Reaction score 2,737 Dec 12, 2014 #2 Ujasiriamali unaweza kuugawanya kwenye aina 2 kuu, ujasiriamali binafsi na ujasiriamali kikundi (kampuni).
Ujasiriamali unaweza kuugawanya kwenye aina 2 kuu, ujasiriamali binafsi na ujasiriamali kikundi (kampuni).